Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko anayo furaha kutangaza nafasi 3 za ajira ya kudumu kwa Watanzania wote wenye sifa stahiki kwa nafasi ya dereva daraja la II nafasi 3. Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 04/05/2023 saa tisa na nusu alasiri. Maombi yote yatumwe kwa njia ya posta kwa kutumia anuani ifuatayo:
Mkurugenzi Mtendaji,
Halmashauri ya Wilaya,
S.L.P 03,
KAKONKO.
Kupata sifa na masharti kwa ujumla fungua tangazo hapa chini;
Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko
Anuani ya Posta: P.O.BOX 3
Simu: +255(028) 2988881
Simu ya Mkononi: +255(028) 2988881
Barua Pepe: ded@kakonkodc.go.tz
Hatimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko. Haki zote zimehifadhiwa