Tuesday 24th, June 2025
@Ukumbi wa Buyungu
Wajumbe wa Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango pamoja na Wakuu wa Idara na Vitengo mnakaribishwa kuhudhuria kikao maalum kujadili hoja za mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za Serikali Juni 10, 2025 katika Ukumbi wa Buyungu.
Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko
Anuani ya Posta: P.O.BOX 3
Simu: +255(028) 2988881
Simu ya Mkononi: +255(028) 2988881
Barua Pepe: ded@kakonkodc.go.tz
Hatimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko. Haki zote zimehifadhiwa