• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Baruapepe |
Kakonko District Council
Kakonko District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
    • Mawasiliano
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara na Vitengo
      • Idara
        • Usafishaji Na Mazingira
        • Elimu Msingi
        • Elimu ya Sekondari
        • Afya na Ustawi wa Jamii
        • Maji
        • Maendeleo ya Jamii
        • Utumishi na Utawala
        • Fedha na Biashara
        • Maliasili, Ardhi na Mazingira
        • Kilimo cha Umwagiliaji na Ushirika
        • Mifugo na Uvuvi
        • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
        • Ujenzi na Zimamoto
      • Vitengo
        • Ugavi na Manunuzi
        • Tehama na Habari
        • Ukaguzi wa Ndani
        • Ufugaji Nyuki
        • Uchaguzi
        • Sheria
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Livestock
    • Fisheries
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Mipango na Usimamizi
      • Elimu Afya na Maji
      • Huduma za Kiuchumi Ujenzi na Mazingira
      • Udhibiti wa UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao
        • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti
      • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayo tekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Ripoti Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio

HALMASHAURI KUU YA WILAYA YA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) YA KAKONKO YAPONGEZA UWAJIBIKAJI NA UTENDAJI KAZI MZURI WA KAZI KWA VIONGOZI.

Imetumwa: May 14th, 2025

Mkutano maalum wa Halmashauri kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) ya Wilaya ya Kakonko imempongeza Mkuu wa Wilaya ya Kakonko Col.Evance Mallasa, kwa uwajibikaji na utendaji kazi mzuri wa kazi katika kuitekeleza ilani ya CCM kwa kipindi cha julai hadi desemba 2024 ambapo wamemuomba kuchukua pongezi pamoja na ushauri na mapendekezo yaliyotolewa na wajumbe lengo ikiwa ni kuendelea kuboresha utekelezaji wa ilani ya chama inayounda serikali.

Pongezi hizo zimetolewa leo tarehe 14 mei 2025, na Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Kakonko Ndg.Saamoja S.Ndilaliha,wakati wa mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa mikutano uliopo wilayani kakonko,kupitia mkutano huo pia wamempongeza Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko Ndg.Ndaki Stephano Mhuli,pamoja na menejimenti kwa ujumla kwa kazi nzuri wanazozifanya ikiwa ni utekelezaji wa ilani jambo ambalo linapelekea wananchi kuendelea kuimini Serikali kupitia Sekta ya mbalimbali ambazo zinagusa wananchi wote.

Akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa Ilani Col.Mallasa, ameeleza kuwa Serikali inaendelea kuboresha na kusogeza huduma zote kwa wananchi kupitia sekta mbalimbali ikiwemo mradi wa maji. ameeleza RUWASA wilaya ya kakonko inatarajia kuongeza huduma ya upatikanaji wa maji kutoka asilimia 88.3 ya sasa hadi kufikia aslimia 91.2 sawa na ongezeko la asilimia 2.9 za upatikanaji wa huduma ya maji vijijini ameeleza ongezeko hilo litakuwa limevuka lengo la ilani ya chama cha mapinduzi kwa asilimia 6.2,ameeleza wilaya ya kakonko imeendelea kutekeleza Ilani ya Uchaguzi ya chama cha Mapinduzi ya mwaka 2020-2025,ilani ambayo inaendelea na mapambano dhidi ya umasikini,ukosefu wa ajira,rushwa, kudumisha umoja,amani pamoja na ulinzi na usalama.

Kwa upande wa nishati ameeleza kuwa TANESCO na REA wanaendelea kusambaza nishati ili kuwafikia wananchi wote. aidha elimu ya matumizi bora ya nishati inaendelea kutolewa kwa wananchi katika maeneo mbalimbali ya nishati inapopita lengo ikiwa nikuwajengea uwezo watumiaji wa nishati ya umeme.

Mbali na hayo, ameeleza kama wilaya wamejipanga kikamilifu kuhakikisha hali ya ulinzi na usalama inaendelea kuwa vizuri huku akiwataka kuendelea kushirikiana,kushauriana na kusaidiana kwa pamoja katika maeneo yao kuhakikisha hali ya usalama inaimalika zaidi.



Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - WAKUSANYA MAPATO January 30, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI - ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA. June 18, 2024
  • TANGAZO LA MAJINA YA WAOMBAJI NAFASI YA UKUSANYAJI MAPATO WALIOITWA KWENYE USAILI January 23, 2025
  • KUITWA KWENYE USAILI WA VITENDO - WAOMBAJI KAZI YA DEREVA II November 17, 2023
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • PSSSF YARAISISHA HUDUMA KWA WASTAAFU KUPITIA MIFUMO YA KIDIJITALI.

    May 29, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI KAKONKO ROBO YA TATU 2024/2025 LAWEKA MKAZO MAENDELEO, UWAJIBIKAJI NA USHIRIKIANO WA PAMOJA.

    May 21, 2025
  • HALMASHAURI KUU YA WILAYA YA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) YA KAKONKO YAPONGEZA UWAJIBIKAJI NA UTENDAJI KAZI MZURI WA KAZI KWA VIONGOZI.

    May 14, 2025
  • KAMATI YA FEDHA UONGOZI NA MIPANGO YATEMBELEA MIRADI YA MAENDELEO WILAYANI KAKONKO

    May 13, 2025
  • Tazama zote

Video

Mkurugenzi afafanua mikakati ya kuendeleza zao la parachichi ikiwemo kugawa mashamba kwa wananchi.
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Tangazo la Nafasi za Kazi za Watendaji
  • Ukaguzi wa Miradi Kakonko
  • Lori jipya la Halmashauri laongeza kasi ya utekelezaji Miradi ikiwemo mradi wa Ufyatuaji tofali
  • TASAF kuibua ajira Kakonko
  • Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko - FACEBOOK account
  • Habari motomoto za magazeti kila siku
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA KAKONKO- INSTAGRAM ACCOUNT
  • WANAFUNZI WILAYA YA KAKONKO WALIOPANGIWA SHULE KIDATO CHA KWANZA
  • MATOKEO YA WANAFUNZI WA DARASA LA NNE WILAYA YA KAKONKO 2022

Viunganishi linganifu

  • Poralg
  • Public Service Management and Good governance
  • Necta
  • Tanzania portal
  • Kigoma Region Website
  • Tangazo la nafasi za kazi
  • Matokeo kidato cha nne 2018/2019 haya hapa
  • Balozi wa Norway akabidhi vifaa vya mifugo kakonko
  • Bunge la Tanzania
  • kakonko tv
  • Mapinduzi sekta ya elimu Kakonko
  • halmashauri ya wilaya ya kakonko - habari na mawasiliano
  • MATOKEO YA MTIHANI KIDATO CHA 2 MWAKA 2022

Waliotembelea tovuti

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko

    Anuani ya Posta: P.O.BOX 3

    Simu: +255(028) 2988881

    Simu ya Mkononi: +255(028) 2988881

    Barua Pepe: ded@kakonkodc.go.tz

Mawasiliano

   

Waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma
    • Kanusho

Hatimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko. Haki zote zimehifadhiwa