Kamati ya siasa na wataalam kutoka ofisi ya Mkurugenzi Wilaya Kakonko wakiwa kwenye ziara ya ukaguzi wa miradi tar.11.1.2022 katika ujenzi wa chanzo cha maji Kasuga na Kituo cha Afya Nyakiyobe-Gwarama.Walisisitiza miradi hii ikamilike mapema ili wananchi wanufaike na miradi hii ambayao imeletwa na serikali yetu ili kuondoa usumbufu kwa wanachi wote.
Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko
Anuani ya Posta: P.O.BOX 3
Simu: +255(028) 2988881
Simu ya Mkononi: +255(028) 2988881
Barua Pepe: ded@kakonkodc.go.tz
Hatimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko. Haki zote zimehifadhiwa