• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Baruapepe |
Kakonko District Council
Kakonko District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
    • Mawasiliano
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara na Vitengo
      • Idara
        • Usafishaji Na Mazingira
        • Elimu Msingi
        • Elimu ya Sekondari
        • Afya na Ustawi wa Jamii
        • Maji
        • Maendeleo ya Jamii
        • Utumishi na Utawala
        • Fedha na Biashara
        • Maliasili, Ardhi na Mazingira
        • Kilimo cha Umwagiliaji na Ushirika
        • Mifugo na Uvuvi
        • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
        • Ujenzi na Zimamoto
      • Vitengo
        • Ugavi na Manunuzi
        • Tehama na Habari
        • Ukaguzi wa Ndani
        • Ufugaji Nyuki
        • Uchaguzi
        • Sheria
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Livestock
    • Fisheries
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Mipango na Usimamizi
      • Elimu Afya na Maji
      • Huduma za Kiuchumi Ujenzi na Mazingira
      • Udhibiti wa UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao
        • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti
      • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayo tekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Ripoti Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio

KAMATI YA SIASA WILAYA YAAGIZA KITUO CHA AFYA MUGUNZU KIKAMILIKE NA KUFUNGULIWA MACHI 2023.

Imetumwa: February 23rd, 2023


Kamati ya Siasa ya Wilaya ya Kakonko imetembelea na kukagua mradi wa kituo cha Afya Mugunzu kilichopo Kata ya Mugunzu Wilayani Kakonko lengo ikiwa ni kukagua na kuangalia maendeleo ya utekelezaji wa ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kuagiza kituo cha afya kikamilishwe na kufunguliwa ifikapo mwishoni mwa mwezi Machi 2023 ili Wananchi waanze kupata huduma.        

Ziara hiyo iliyofanyika siku ya Jumatano tarehe 22 Februari, 2023 ikiongozwa na Mwenyekiti wa CCM (W) Ndugu Saamoja Ndilaliha, Katibu wa CCM (W), Mwenyekiti wa Vijana (W) na Katibu, Katibu Mwenezi (W), Mwenyekiti wa Wanawake (UWT) Wilaya, MNEC Mkoa, Mwenyekiti wa Wazazi, Mwenyekiti wa Halmashauri na  Mbunge wa Jimbo.

Kwa upande wa Pili timu ya Wilaya iliongozwa na Mkuu wa Wilaya ya Kakonko Col. Evance Mallasa, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri, Kaimu Katibu Tawala, Afisa Mipango, Afisa Ugavi, Mhandisi wa ujenzi pamoja na Mtendaji wa Kata ya Mugunzu.

Aidha kupitia ziara hiyo kamati ilibaini changamoto mbalimbali ikiwemo changamoto ya kuchelewa kukamilika kwa mradi huo hivyo kamati ilitoa ushauri kwa Halmashauri kutenga fedha ya makusanyo ya ndani itakayosaidia kukamilisha mradi huo, na kutoa maelekezo changamoto hiyo ifanyiwe kazi.

Mkuu wa Wilaya ya Kakonko Kanali Evance Mallasa amemhimiza Mkurugenzi Mtendaji kuendelea kusimamia mradi huo uweze kukamilika ili wananchi waanze kupata huduma, ameendelea kusema miradi inaongezeka hivyo ajitahidi kuboresha na kukamilisha miradi kwa wakati.

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko Ndaki Stephano Mhuli ameeleza kuwa kumekuwa na changamoto nyingi zilizosababisha kuchelewa kukamilika kwa mradi huo ikiwemo changamoto ya maji kupatikana mbali na eneo la mradi hivyo wamejipanga kufikia mwezi wa tatu 2023 mradi huo utakuwa umekamilika kwani wanapambana kuhakikisha wanakamilisha ili Wananchi waanze kupata huduma.

Kupitia ziara hiyo Wajumbe wa kamati ya siasa wametoa Ushauri kwa Watendaji wa Serikali kutumia mbinu mbalimbali katika kutatua changamoto zilizopo katika miradi inayoendelea kutekelezwa Wilaya ya Kakonko.

Mwenyekiti wa CCM Wilaya Mhe.Samoja Ndilaliha amehitimisha kwa kuiagiza Halmashauri kuhakikisha ujenzi wa Kituo cha Afya cha Mugunzu unakamilika kufikia Machi 2023 ili kuondoa changamoto ya Wananchi kupata huduma mbali na Makazi yao.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - WAKUSANYA MAPATO January 30, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI - ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA. June 18, 2024
  • TANGAZO LA MAJINA YA WAOMBAJI NAFASI YA UKUSANYAJI MAPATO WALIOITWA KWENYE USAILI January 23, 2025
  • KUITWA KWENYE USAILI WA VITENDO - WAOMBAJI KAZI YA DEREVA II November 17, 2023
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • WAANDISHI WASAIDIZI NA WAENDESHA VIFAA VYA BAYOMETRIKI WASISITIZWA KUFANYA KAZI KWA WELEDI.

    April 29, 2025
  • UANZISHWAJI WA MFUMO WA UTHIBITI UBORA WA SHULE WATAJWA KUWA CHACHU KATIKA UTATUZI WA CHANGAMOTO ZA KIUTENDAJI..

    April 17, 2025
  • JIMBO LA BUYUNGU LABADILISHWA JINA NA KUITWA JIMBO LA KAKONKO.

    March 13, 2025
  • MHE.KAMAMBA AWAKUMBUSHA WATUMISHI KUWEKEZA KATIKA KILIMO NA BIASHARA PAMOJA NA KUJIENDELEZA KIELIMU.

    March 03, 2025
  • Tazama zote

Video

Mkurugenzi afafanua mikakati ya kuendeleza zao la parachichi ikiwemo kugawa mashamba kwa wananchi.
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Tangazo la Nafasi za Kazi za Watendaji
  • Ukaguzi wa Miradi Kakonko
  • Lori jipya la Halmashauri laongeza kasi ya utekelezaji Miradi ikiwemo mradi wa Ufyatuaji tofali
  • TASAF kuibua ajira Kakonko
  • Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko - FACEBOOK account
  • Habari motomoto za magazeti kila siku
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA KAKONKO- INSTAGRAM ACCOUNT
  • WANAFUNZI WILAYA YA KAKONKO WALIOPANGIWA SHULE KIDATO CHA KWANZA
  • MATOKEO YA WANAFUNZI WA DARASA LA NNE WILAYA YA KAKONKO 2022

Viunganishi linganifu

  • Poralg
  • Public Service Management and Good governance
  • Necta
  • Tanzania portal
  • Kigoma Region Website
  • Tangazo la nafasi za kazi
  • Matokeo kidato cha nne 2018/2019 haya hapa
  • Balozi wa Norway akabidhi vifaa vya mifugo kakonko
  • Bunge la Tanzania
  • kakonko tv
  • Mapinduzi sekta ya elimu Kakonko
  • halmashauri ya wilaya ya kakonko - habari na mawasiliano
  • MATOKEO YA MTIHANI KIDATO CHA 2 MWAKA 2022

Waliotembelea tovuti

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko

    Anuani ya Posta: P.O.BOX 3

    Simu: +255(028) 2988881

    Simu ya Mkononi: +255(028) 2988881

    Barua Pepe: ded@kakonkodc.go.tz

Mawasiliano

   

Waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma
    • Kanusho

Hatimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko. Haki zote zimehifadhiwa