Mkutano wa Baraza la Madiwani la mwaka umefanyika Wilayani Kakonko tarehe 10 Agosti 2017 ambapo Mhe.Toyi Butono, Diwani wa kata ya Gwanumpu (CCM) amechaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti kwa kupata kura 12 dhidi ya mpinzani wake Elia Fredrick diwani wa Gwarama (CHADEMA) aliyepata kura 9.
Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko
Anuani ya Posta: P.O.BOX 3
Simu: +255(028) 2988881
Simu ya Mkononi: +255(028) 2988881
Barua Pepe: ded@kakonkodc.go.tz
Hatimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko. Haki zote zimehifadhiwa