Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko Ndaki S.Mhuli anaungana na Watanzania wote kuomboleza vifo vya waliopoteza maisha katika ajali ya ndege ya Precision Air iliyotokea ziwa Victoria Wilayani Bukoba Mkoa wa Kagera leo tarehe 06.11.2022 na kusababisha vifo vya Watu 19.Tunatoa pole kwa Wafiwa, Majeruhi na Watanzania walioguswa na ajali hiyo. Tunaendelea kuwaombea majeruhi wapone haraka.
Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko
Anuani ya Posta: P.O.BOX 3
Simu: +255(028) 2988881
Simu ya Mkononi: +255(028) 2988881
Barua Pepe: ded@kakonkodc.go.tz
Hatimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko. Haki zote zimehifadhiwa