• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Baruapepe |
Kakonko District Council
Kakonko District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
    • Mawasiliano
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara na Vitengo
      • Idara
        • Usafishaji Na Mazingira
        • Elimu Msingi
        • Elimu ya Sekondari
        • Afya na Ustawi wa Jamii
        • Maji
        • Maendeleo ya Jamii
        • Utumishi na Utawala
        • Fedha na Biashara
        • Maliasili, Ardhi na Mazingira
        • Kilimo cha Umwagiliaji na Ushirika
        • Mifugo na Uvuvi
        • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
        • Ujenzi na Zimamoto
      • Vitengo
        • Ugavi na Manunuzi
        • Tehama na Habari
        • Ukaguzi wa Ndani
        • Ufugaji Nyuki
        • Uchaguzi
        • Sheria
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Livestock
    • Fisheries
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Mipango na Usimamizi
      • Elimu Afya na Maji
      • Huduma za Kiuchumi Ujenzi na Mazingira
      • Udhibiti wa UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao
        • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti
      • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayo tekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Ripoti Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio

SEMINA ELEKEZI YA MRADI WA IPOSA KWA WALIMU WAKUU NA WALIMU WAWEZESHAJI WA VITUO VYA MRADI.

Imetumwa: January 6th, 2023

Walimu Wakuu wa Shule za Msingi na Walimu wawezeshaji wa mradi wa IPOSA Integrated Programme for out of School Adolescents (Mpango wa Elimu Changamani kwa Vijana) kutoka Shule ya Msingi Maendeleo, kasanda, Gwarama, na Kasuga wameshiriki Mafunzo ya siku mbili Januari 05-06, 2023 yaliyofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko.

Dr.Sempeho Siafu Mratibu wa Mradi wa IPOSA kitaifa amesema lengo la mradi huu ni kuwafikia vijana ambao wako nje ya mfumo wa Elimu rasmi na wale waliokata tamaa ili waweze kuwajengea uwezo kupitia stadi mbali mbali za Maisha na ujasiliamali kama ufundi selemala, ushonaji wa nguo ,utengenezaji wa sabuni na ufundi ujenzi ili waweze kujikomboa kiuchumi.

Kwa upande wake mwezeshaji wa Mafunzo Bi. Mugabe Mtani kutoka Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima amesema wawezeshaji wa mradi huo wanatakiwa kuongeza kasi ya kusajili Wanafunzi katika mradi wa IPOSA na kuwajengea uwezo pia kufanya uhamasishaji katika ngazi ya Jamii kupitia viongozi wa Serikali kama Mkuu wa Wilaya, Mkurugenzi Mtendaji, Waheshimiwa Madiwani, na Watendaji wa Kata na Vijiji ili kuhamasisha vijana na wananchi juu ya umuhimu wa mradi wa IPOSA.

Ameendelea kusema wawezeshaji wa mradi huu washirikiane wao kwa wao pia washilikishe Vyuo vya Ufundi (SIDO/VETA), Taasisi zisizo za Kiserikali, Mashirika ya Kitaifa, Taasisi za Kibenki na Mashirika ambayo yapo katika maeneo yao ili waweze kupata michango  ambayo itawasaidia katika kuendesha shughuli mbali mbali za  mradi wa IPOSA. Hivyo amewasisitiza kutengeneza bidhaa bora ambazo zitapata na soko na kuchangia uchumi wao kuongezeka na uchumi wa Halmashuri husika.

Aidha Fred Juma  kutoka OR- TAMISEMI amesema amefarijika kwa namna Mafunzo yanavyoendeshwa hivyo anatarajia kuona mabadiliko chanya katika Shule ambazo zinaendesha Mradi wa IPOSA.

Naye Tumaini Hassan kutoka Wizara ya Elimu OR-TAMISEMI amesema  baada ya mafunzo hayo kutolewa Walimu Wawezeshaji wa vituo husika wahakikishe wanatoa Mafunzo ya ujuzi wa Stadi mbali mbali za Maisha kwa vijana ambao wako nje ya mfumo wa Elimu rasmi ili waweze kujikomboa kiuchumi. Aidha amelishukuru Shirika la UNICEF kwa kufadhili mradi huo.

Mradi wa IPOSA umefadhiliwa na Shirika la UNICEF kwa kushirikiana na Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI. Vituo vinavyoshiriki Mafunzo ni pamoja na Shule ya msingi IPOSA Maendeleo, Gwarama, Kasanda na Kasuga.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - WAKUSANYA MAPATO January 30, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI - ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA. June 18, 2024
  • TANGAZO LA MAJINA YA WAOMBAJI NAFASI YA UKUSANYAJI MAPATO WALIOITWA KWENYE USAILI January 23, 2025
  • KUITWA KWENYE USAILI WA VITENDO - WAOMBAJI KAZI YA DEREVA II November 17, 2023
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • WAANDISHI WASAIDIZI NA WAENDESHA VIFAA VYA BAYOMETRIKI WASISITIZWA KUFANYA KAZI KWA WELEDI.

    April 29, 2025
  • UANZISHWAJI WA MFUMO WA UTHIBITI UBORA WA SHULE WATAJWA KUWA CHACHU KATIKA UTATUZI WA CHANGAMOTO ZA KIUTENDAJI..

    April 17, 2025
  • JIMBO LA BUYUNGU LABADILISHWA JINA NA KUITWA JIMBO LA KAKONKO.

    March 13, 2025
  • MHE.KAMAMBA AWAKUMBUSHA WATUMISHI KUWEKEZA KATIKA KILIMO NA BIASHARA PAMOJA NA KUJIENDELEZA KIELIMU.

    March 03, 2025
  • Tazama zote

Video

Mkurugenzi afafanua mikakati ya kuendeleza zao la parachichi ikiwemo kugawa mashamba kwa wananchi.
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Tangazo la Nafasi za Kazi za Watendaji
  • Ukaguzi wa Miradi Kakonko
  • Lori jipya la Halmashauri laongeza kasi ya utekelezaji Miradi ikiwemo mradi wa Ufyatuaji tofali
  • TASAF kuibua ajira Kakonko
  • Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko - FACEBOOK account
  • Habari motomoto za magazeti kila siku
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA KAKONKO- INSTAGRAM ACCOUNT
  • WANAFUNZI WILAYA YA KAKONKO WALIOPANGIWA SHULE KIDATO CHA KWANZA
  • MATOKEO YA WANAFUNZI WA DARASA LA NNE WILAYA YA KAKONKO 2022

Viunganishi linganifu

  • Poralg
  • Public Service Management and Good governance
  • Necta
  • Tanzania portal
  • Kigoma Region Website
  • Tangazo la nafasi za kazi
  • Matokeo kidato cha nne 2018/2019 haya hapa
  • Balozi wa Norway akabidhi vifaa vya mifugo kakonko
  • Bunge la Tanzania
  • kakonko tv
  • Mapinduzi sekta ya elimu Kakonko
  • halmashauri ya wilaya ya kakonko - habari na mawasiliano
  • MATOKEO YA MTIHANI KIDATO CHA 2 MWAKA 2022

Waliotembelea tovuti

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko

    Anuani ya Posta: P.O.BOX 3

    Simu: +255(028) 2988881

    Simu ya Mkononi: +255(028) 2988881

    Barua Pepe: ded@kakonkodc.go.tz

Mawasiliano

   

Waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma
    • Kanusho

Hatimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko. Haki zote zimehifadhiwa