Waziri wa Elimu Ufundi Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako amehudhuria sherehe ya Wafanyakazi Mei Mosi iliyoadhimishwa kimkoa Wilayani Kakonko hivi Karibuni na kupongeza juhudi zinazofanywa na Uongozi wa Wilaya kwa kushirikiana na Wanachi katika ujenzi wa bwalo na hosteli kwa ajili ya kidato cha tano na sita katika shule ya Sekondari Kakonko. Mgeni rasmi katika sherehe za Mei Mosi kimkoa alikuwa na Mkuu wa mkoa wa Kigoma Brigedia Jenerali Mstaafu Immanuele Maganga.
Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko
Anuani ya Posta: P.O.BOX 3
Simu: +255(028) 2988881
Simu ya Mkononi: +255(028) 2988881
Barua Pepe: ded@kakonkodc.go.tz
Hatimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko. Haki zote zimehifadhiwa