Mkuu wa Wilaya ya Kakonko Col.Hosea Ndagala akitoa Ufafanuzi kuhusu miundo mbinu ya Umeme.
Bwana Emmanuel Gwegenyeza akitoa kero ya kukosa umeme katika shule anayoimiliki ya Gwegenyeza.
Mwananchi akimweleza Mhe.Waziri kuhusu kiwanja chake kuingiliwa na nguzo za Umeme