• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Baruapepe |
Kakonko District Council
Kakonko District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
    • Mawasiliano
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara na Vitengo
      • Idara
        • Usafishaji Na Mazingira
        • Elimu Msingi
        • Elimu ya Sekondari
        • Afya na Ustawi wa Jamii
        • Maji
        • Maendeleo ya Jamii
        • Utumishi na Utawala
        • Fedha na Biashara
        • Maliasili, Ardhi na Mazingira
        • Kilimo cha Umwagiliaji na Ushirika
        • Mifugo na Uvuvi
        • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
        • Ujenzi na Zimamoto
      • Vitengo
        • Ugavi na Manunuzi
        • Tehama na Habari
        • Ukaguzi wa Ndani
        • Ufugaji Nyuki
        • Uchaguzi
        • Sheria
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Livestock
    • Fisheries
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Mipango na Usimamizi
      • Elimu Afya na Maji
      • Huduma za Kiuchumi Ujenzi na Mazingira
      • Udhibiti wa UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao
        • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti
      • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayo tekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Ripoti Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio

Skimu za Umwagiliaji Wilayani Kakonko

Miundombinu ya Umwagiliaji

Wilaya ya Kakonko ina jumla ya skimu 6 za umwagiliaji maji mashambani na mabwawa 2 kwa ajili ya matumizi ya maji ya nyumbani na mifugo. Kati ya skimu hizo, skimu 5 zinazalisha vizuri wakati skimu ya Nyaronga katika Kijiji cha Nyamtukuza inazalisha kidogo kutokana na kuwa ujenzi wa miundombinu umekamilika hivi karibuni. Katika skimu hizo kuna jumla ya Ha. 1,756.5 zilizopimwa ambapo jumla ya Ha. 1,194  (68%) zinalimwa na jumla ya wakulima 2,568. Wilaya ina mpango endelevu wa ujenzi wa skimu za umwagiliaji ambapo imekamilisha mpango wa kujenga skimu ya umwagiliaji Gwanumpu utakaokuwa na uwezo wa kumwagilia mashamba Ha. 170. Skimu hiyo itagharimu Tsh. 400m/= na Mradi huo utagharimiwa na Tanzania/Japan Food Aid Counterpart Fund.

Aidha wilaya ina mabwawa ya maji mawili yaliyojengwa katika vijiji vya Itumbiko na Kasuga. Upembuzi yakinifu wa ujenzi wa bwawa  la Cheraburo katika kijiji cha Muganza imekamilika.

 Jedwali Na: 7. Miundombinu ya umwagiliaji katika Wilaya ya Kakonko 2014/15

 

Na

Jina la Mradi

Idadi ya Wakulima

Eneo lililopimwa

Eneo linalolimwa

Msimu Mradi ulipoanza

Maelezo ya ziada

1
Bugunga “A”
(Muhwazi)

278

Ha 150

Ha 202

2003/04

Uzalishaji unaendelea
2
Bugunga “B”
(Nchumito)

250

Ha 138

Ha 128

2006/07

Uzalishaji unaendelea
3
Mwiruzi

180

Ha 152

Ha 140

2006/07
Uzalishaji unaendelea
4
Nyaronga

220

Ha 153

Ha 50

2008/09
Uzalishaji unaendelea
5
Ruhwiti

330

Ha 140

Ha 219

2004/05
Uzalishaji unaendelea.   Ukamilishaji wa mfereji mkuu unaendelea na umefikia m. 823 kati ya lengo la m. 950.
6
Katengera

248

Ha 217

Ha 196

2006/07
Uzalishaji unaendelea . Usakafiaji wa mfereji mkuu unaendelea  na mkandarasi anaendelea  kukamilisha ujenzi wa mfereji  mkuu na  vigawa maji  15 mpaka kufikia Jan.2015
7
Itumbiko
[Bwawa]

340

Ujazo wa  Lita 28mil.
Matumizi ya binadamu na mifugo
2007/08
Bwawa linatumika
8
Kasuga
[Bwawa]

210

Ujazo -  Lt  106.5mil
Matumizi ya binadamu na mifugo
 2011/12
Limeweka maji kidogo msimu wa mwaka 2013/14
JUMLA

2,056

940

935

 
 

 

 Wilaya inaendelea kutafiti na kuanzisha skimu mpya za umwagiliaji na mabwawa ili kuongeza eneo la Kilimo cha umwagiliaji. Wilaya kwa kushirikiana na Ofisi ya Umwagiliaji Kanda ya Tabora inaendelea na utayarishaji wa mradi mpya wa umwagiliaji katika kijiji cha Gwanumpu kitakachokuwa na uwezo wa kumwagilia Ha. 170. Mradi huu utagharimiwa na Tanzania/Japan Food Aid Counterpart Fund kwaTshs. 400mil/=. Pamoja na skimu ya Gwanumpu, Ofisi ya Umwagiliaji Kanda ya Tabora imekamilisha hatua za awali za upembuzi yakinifu wa ujenzi wa bwawa la Cheraburo katika kijiji cha Muganza.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - WAKUSANYA MAPATO January 30, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI - ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA. June 18, 2024
  • TANGAZO LA MAJINA YA WAOMBAJI NAFASI YA UKUSANYAJI MAPATO WALIOITWA KWENYE USAILI January 23, 2025
  • KUITWA KWENYE USAILI WA VITENDO - WAOMBAJI KAZI YA DEREVA II November 17, 2023
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • WAANDISHI WASAIDIZI NA WAENDESHA VIFAA VYA BAYOMETRIKI WASISITIZWA KUFANYA KAZI KWA WELEDI.

    April 29, 2025
  • UANZISHWAJI WA MFUMO WA UTHIBITI UBORA WA SHULE WATAJWA KUWA CHACHU KATIKA UTATUZI WA CHANGAMOTO ZA KIUTENDAJI..

    April 17, 2025
  • JIMBO LA BUYUNGU LABADILISHWA JINA NA KUITWA JIMBO LA KAKONKO.

    March 13, 2025
  • MHE.KAMAMBA AWAKUMBUSHA WATUMISHI KUWEKEZA KATIKA KILIMO NA BIASHARA PAMOJA NA KUJIENDELEZA KIELIMU.

    March 03, 2025
  • Tazama zote

Video

Mkurugenzi afafanua mikakati ya kuendeleza zao la parachichi ikiwemo kugawa mashamba kwa wananchi.
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Tangazo la Nafasi za Kazi za Watendaji
  • Ukaguzi wa Miradi Kakonko
  • Lori jipya la Halmashauri laongeza kasi ya utekelezaji Miradi ikiwemo mradi wa Ufyatuaji tofali
  • TASAF kuibua ajira Kakonko
  • Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko - FACEBOOK account
  • Habari motomoto za magazeti kila siku
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA KAKONKO- INSTAGRAM ACCOUNT
  • WANAFUNZI WILAYA YA KAKONKO WALIOPANGIWA SHULE KIDATO CHA KWANZA
  • MATOKEO YA WANAFUNZI WA DARASA LA NNE WILAYA YA KAKONKO 2022

Viunganishi linganifu

  • Poralg
  • Public Service Management and Good governance
  • Necta
  • Tanzania portal
  • Kigoma Region Website
  • Tangazo la nafasi za kazi
  • Matokeo kidato cha nne 2018/2019 haya hapa
  • Balozi wa Norway akabidhi vifaa vya mifugo kakonko
  • Bunge la Tanzania
  • kakonko tv
  • Mapinduzi sekta ya elimu Kakonko
  • halmashauri ya wilaya ya kakonko - habari na mawasiliano
  • MATOKEO YA MTIHANI KIDATO CHA 2 MWAKA 2022

Waliotembelea tovuti

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko

    Anuani ya Posta: P.O.BOX 3

    Simu: +255(028) 2988881

    Simu ya Mkononi: +255(028) 2988881

    Barua Pepe: ded@kakonkodc.go.tz

Mawasiliano

   

Waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma
    • Kanusho

Hatimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko. Haki zote zimehifadhiwa