Thursday 21st, November 2024
@WILAYA YA KAKONKO
WANAFUNZI WA DARASA LA SABA NCHINI KOTE TANZANIA WANATARAJIA KUANZA MTIHANI WA KUMALIZA ELIMU YA MSINGI SIKU YA JUMATANO YA TAREHE 13 SEPTEMBA, 2023 NA KUMALIZA SIKU YA ALHAMISI YA TAREHE 14 SEPTEMBA, 2023.
KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA KAKONKO JUMLA YA WATAHINIWA 4590 WA DARASA LA SABA WATAUNGANA NA WENZAO NCHINI KOTE KUFANYA MTIHANI WA KUMALIZA ELIMU YA MSINGI KWA MWAKA 2023.
KATI YA WATAHINIWA HAO WAVULANA NI 2215 NA WASICHANA NI 2375 SAWA NA MIKONDO 203 KATIKA SHULE 63 ZA SERIKALI.
UONGOZI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA KAKONKO UNAWATAKIA KILA LA KHERI WATAHINIWA WOTE WA DARASA LA SABA 2023 KATIKA MIIHANI YAO YA KUMALIZA ELIMU YA MSINGI NA KUWAOMBEA WAFANYE VYEMA PIA WAZINGATIE TARATIBU NA KANUNI ZA MTIHANI.
Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko
Anuani ya Posta: P.O.BOX 3
Simu: +255(028) 2988881
Simu ya Mkononi: +255(028) 2988881
Barua Pepe: ded@kakonkodc.go.tz
Hatimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko. Haki zote zimehifadhiwa