Ujenzi wa boma unaendelea katika shule ya Sekondari Wasichana ya Kakonko.
Ujenzi wa boma ukiwa unaendelea katika shule ya sekondari ya Wasichana ya Kakonko iliyopo kata ya Kanyonza.
Ujenzi wa chumba cha darasa ukiwa unaendelea katika shule ya sekondari ya Wasichana iliyopo kata ya Kanyonza.
Ujenzi wa msingi ukiwa unaendelea katika shule ya Sekondari Dr.Mapngo iliyopo kata ya Kasanda.
Msingi ukiwa unachimbwa katika shule ya sekondari Dr.Mpango.
Ukusanyaji vifaa kama mawe na mchanga pamoja na uchimbaji wa msingi ukiwa unaendelea katika shule ya Sekondari Dr.Mapngo iliyopo kata ya Kasanda.
Upangaji wa mawe katika msingi ukiwa unaendelea katika shule ya Sekondari Muhange iliyopo kata ya Gwarama.
Ujenzi wa msingi ukiwa unaendelea katika shule ya Sekondari Gwanumpu iliyopo kata ya Gwanumpu.
Ujenzi wa msingi unaendelea katika shule ya sekondari Dr.Mpango iliyopo Kata ya Kasanda.
Uchimbaji wa msingi unaendelea katika shule ya Sekondari Gwanumpu iliyopo katika kata ya Gwanumpu.
Upangaji wa mawe kwenye msingi ukiwa unaendelea katika shule ya Sekondari Muhange iliyopo kata ya Gwarama.
Mafundi wakiendelea na ujenzi ndani ya chumba cha darasa katika shule ya Sekondari Kanyonza.
Ujenzi ukiwa umefikia usawa wa madirisha katika shule ya sekondari Kanyonza.
Mafundi wakiwa wanasuka nondo katika shule ya Sekondari Kanyonza.
Chumba cha darasa kimefikia hatua ya lenta katika shule ya Sekondari Kanyonza.
Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko
Anuani ya Posta: P.O.BOX 3
Simu: +255(028) 2988881
Simu ya Mkononi: +255(028) 2988881
Barua Pepe: ded@kakonkodc.go.tz
Hatimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko. Haki zote zimehifadhiwa