Kaimu Katibu Tawala Amani Alexander (katikati), Mwenyekiti wa CCM (W) Saamoja Ndilaliha (kulia) na Mwenyekiti wa Halmashauri Fidel Nderego wakiwa katika kituo cha Watoto yatima Kabare.
Kaimu Katibu Tawala akitoa zawadi kwa mlezi wa kituo cha Watoto yatima Kabare alipotembelea na Viongozi mbalimbali Machi 21, 2023 katika kata ya Gwarama Wilayani Kakonko.
Viongozi mbalimbali akiwemo Afisa Elimu Msingi wa (kushoto) Meneja TANESCO (kulia) na Afisa Ustawi wa Jamii wakiwa kituo cha Watoto yatima Kabare wakiwajulia hali watoto yatima.
Muhudumu wa kituo cha Watoto yatima Kabare akiwa amebeba watoto katika kituo hicho wakati walipotembelewa na wageni kutoka Wilayani.
Wageni kutoka Wilayani wakiwa katika kituo cha Watoto yatima Kabare kuwajulia hali na kuwapa zawadi mbalimbali walipowatembelea kituoni hapo.
Viongozi mbalimbali wakiwa kwenye picha ya pamoja walipotembelea kituo cha Watoto yatima Kabare kilichopo kata ya Gwarama Wilayani Kakonko.
Maafisa Ustawi wa Jamii, Maendeleo ya Jamii, Dawati la Jinsia, Afisa Lishe, Afisa Elimu Msingi na Meneja Tanesco wakiwa katika picha ya pamoja katika Kituo cha Watoto yatima Kabare walipotembelea hapo.
Maafisa Ustawi wakiwa na watoto na walezi wa kituo cha Watoto yatima Kabare walipowatembelea kituoni hapo.
Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko
Anuani ya Posta: P.O.BOX 3
Simu: +255(028) 2988881
Simu ya Mkononi: +255(028) 2988881
Barua Pepe: ded@kakonkodc.go.tz
Hatimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko. Haki zote zimehifadhiwa