Wanafunzi wa shule ya Msingi Kasanda wakipewa elimu ya ukatili wa kijinsia na Afisa Ustawi wa Jamii.
Maafisa Ustawi wa Jamii wakitoa elimu ya namna ya kujiepusha na ukatili wa kijinsia kwa Wanafunzi wa shule ya msingi Kasanda walipotembelea shule hiyo.
Mhe.Dickson Barutwa, Diwani wa kata ya Kasanda akiwahutubia Wananchi na kuwasisitiza kutoa taarifa mapema wanapofanyiwa vitendo vya ukatili wa kijinsia.
Kamanda wa Polisi Wilaya ya Kakonko Mohamed Masoud Mussa akitoa Elimu ya ukatili kwa Wananachi wa Kijiji cha Chilambo kata ya Kasanda.
Kaimu Katibu Tawala Wilaya ya Kakonko, Amani Alexander akizungumza na Wananchi wa Kijiji cha Chilambo kuhusu ukatili wa kijinsia dhidi ya Wanawake na Watoto.
Col.Evance Mallasa, Mkuu wa Wilaya ya Kakonko akiwahutubia Wananchi wa Kijiji cha Chilambo kata ya Kasanda na kuwahimiza kutoa taarifa kwa Viongozi wanapofanyiwa vitendo vya ukatili wa kijinsia.
Mtendaji wa kijiji (wa kwanza kushoto), Afisa Elimu msingi (wa katikati), Mwenyekiti wa kitongoji wakiwa kwenye mkutano wa hadhara katika Kijiji cha Chilambo Kata ya Kasanda wakitoa elimu ya ukatili wa kijinsia kwa Wananchi.
Wananchi wa Kijiji cha chilambo wakiwa kwenye mkutano wa hadhara .
Wananchi wa Kijiji cha Chilambo wakiwa kwenye mkutano wahadhara uliofanyika katika kata ya Kasanda.
Viongozi mbalimbali wakiwa kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika Kijiji cha Chilambo kilichopo kata ya Kasanda.
Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko
Anuani ya Posta: P.O.BOX 3
Simu: +255(028) 2988881
Simu ya Mkononi: +255(028) 2988881
Barua Pepe: ded@kakonkodc.go.tz
Hatimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko. Haki zote zimehifadhiwa