Mwenyekiti wa Halmashauri Fidel Chiza Nderego akifanya utambulisho wa Waheshimiwa madiwani wakati wa ufunguzi wa semina ya Uongozi na Utawala bora Juni 05, 2023.
Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri Abdallah Rajabu Magembe akichangia mada katika mafunzo ya Uongozi Bora katika Chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo
Diwani wa Kata ya Gwanumpu Mhe.Toyi Butono akichangia mada katika semina ya mafunzo ya Uongozi na Utawala bora katika Chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo Dodoma yaliyoanza tarehe 05 hadi 10 Juni, 2023.
Mafunzo ya Uongozi na Utawala bora yametolewa na Chuo cha Serikali za mItaa cha Hombolo - Dodoma kwa Waheshimiwa Madiwani 19 wa Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko kuanzia tarehe 05-10 Juni, 2023.
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko Ndaki Stephano Mhuli akiwa anachangia mada katika semina ya Uongozi na Utawala bora katika Chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo - Dodoma kuanzia tarehe 05 - 10 Juni, 2023.
Mbunge wa Jimbo la Buyungu Aloyce John Kamamba akiwa anachangia mada katika semina ya Uongozi na Utawala bora iliyofanyika katika Chuo cha Serikali za mitaa Hombolo Dodoma kuanzia tarehe 05 - 10 Juni, 2023.
Diwani wa kata ya Rugenge Medas Mahamile (wa kwanza kushoto), Diwani Viti Maalum Tarafa ya Kasanda Leokadia Ngeze (wa katikati), Diwani Viti maalum Tarafa ya Kakonko Raheli Tanu (wa kwanza kulia) wakiwa wanafuatilia mafunzo katika Chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo - Dodoma kuanzia tarehe 05 - 10 Juni, 2023.
Diwani Viti Maalum Tarafa ya Kasanda (Evangelistha Chiza wa kwanza kushoto) na Diwani Viti Maalum Tarafa ya Nyaronga Imelida Mathias (wa kwanza kulia) wakiwa katika mafunzo ya Uongozi na Utawala bora yaliyofanyika Chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo - Dodoma yalifanyika tarehe 05 - 10 Juni, 2023.
Diwani wa Kata ya Kasanda Dickson Barutwa (wa kwanza kushoto) na Diwani wa Kata ya Kiziguzigu Martin Runaku Mpemba wakiwa katika mafunzo ya Uongozi na Utawala bora Chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo - Dodoma kuanzia tarehe 05 - 10 Juni, 2023.
Diwani wa Viti Maalum Tarafa ya Kakonko Hamisa Maulid Nyamaliza (wa kwanza kushoto) na Afisa Mipango Wilaya Michael Faraay (wa kwanza kulia) wakiwa katika mafunzo ya Uongozi na Utawala bora katika Chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo - Dodoma kuanzia tarehe 05 - 10 Juni, 2023.
Diwani wa Kata ya Katanga Ezekiel Bikata (wa kwanza kushoto), Diwani wa Kata ya Muhange Ibrahim Katunzi (wa katikati), Afisa Utumishi wa Wilaya Eliaichi Raymond Macha wakiwa katika mafunzo ya Uongozi na Utawala bora katika Chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo - Dodoma kuanzia tarehe 05 - 10 Juni, 2023.
Mkufunzi na Wakili wa Serikali, Victor Mwinyipepe akitoa mada kuhusu Historia, uhalali na Sheria za Uendeshaji wa Serikali za Mitaa kwa Waheshimiwa Madiwani 19 wa Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko katika semina ya Uongozi na Utawala bora iliyofanyika kuanzia tarehe 05 - 10 Juni, 2023 katika Chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo - Dodoma.
Diwani wa Kata ya Gwanumpu, Toyi Sylivester Butono (wa kwanza kushoto), Diwani wa kata ya Mugunzu, Furaha Nkota (wa katikati) na Diwani wa kata ya Kanyonza, Alfred Elias wakiwa katika mafunzo ya Uongozi na Utawala bora yaliyofanyika Chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo - Dodoma kuanzia tarehe 05 - 10 Juni, 2023.
Wakufunzi kutoka Chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo - Dodoma wakiendesha mafunzo ya Uongozi na Utawala bora kwa Waheshimiwa Madiwani 19 wa Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko kuanzia tarehe 05 - 10 Juni, 2023 Jijini Dodoma.
Diwani wa Kata ya Kakonko, Augustino Linze akifuatilia mafunzo ya Uongozi na Utawala bora katika Chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo - Dodoma kuanzia tarehe 05 - 10 Juni, 2023
Mwakilishi wa Mkuu wa Chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo - Dodoma akifungua mafunzo ya Uongozi na Utawala bora kwa Waheshimiwa Madiwani 19 wa Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko kuanzia tarehe 05 - 10 Juni, 2023.
Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko
Anuani ya Posta: P.O.BOX 3
Simu: +255(028) 2988881
Simu ya Mkononi: +255(028) 2988881
Barua Pepe: ded@kakonkodc.go.tz
Hatimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko. Haki zote zimehifadhiwa