Kaimu Katibu tawala Patrick Kechegwa akikagua vitalu Wakati akifanya uzinduzi wa upandaji wa miti katika Kijiji cha Mugunzu Kata ya Mugunzu tarehe 22.11.2022
Vitalu vya Miche vilivyopo Kijiji cha Mugunzu Kata ya Mugunzu Wilayani Kakonko Mkoani Kigoma.
Wananchi wa Kijiji cha Mugunzu wameshiriki zoezi la upandaji miti katika Kijiji cha Mugunzu Kata ya Mugunzu Wilayani Kakonko Mkoani Kigoma.
Kaimu katibu tawala Patrick Kechegwa Mwakilishi wa Mkuu wa Wilaya ya Kakonko Col. Evance Mallasa akizindua zoezi la upandaji miti kijiji cha Munguzu kata ya Mugunzu.
Viongozi wa Shirika la DRC wakishiriki zoezi la upandaji wa miti katika Kata ya Mugunzu Wilaya ya Kakonko Mkoani Kigoma.
Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko
Anuani ya Posta: P.O.BOX 3
Simu: +255(028) 2988881
Simu ya Mkononi: +255(028) 2988881
Barua Pepe: ded@kakonkodc.go.tz
Hatimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko. Haki zote zimehifadhiwa