Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko anayo furaha kutangaza nafasi 6 za ajira ya kudumu kwa watanzania wote wenye sifa stahiki ikiwemo Katibu Muhtasi Daraja la III na Mtunza Kumbukumbu Msaidizi Daraja la II. Nafasi za ajira hizi zinatokana na kibali cha ajira kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala bora kwa barua yenye Kumb.FA.97/228/01/9 ya tarehe 13 Mei, 2022. Kwa maelezo zaidi Rejea tangazo la ajira hapo chini.
Fungua hapa - TANGAZO LA AJIRA.pdf
Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko
Anuani ya Posta: P.O.BOX 3
Simu: +255(028) 2988881
Simu ya Mkononi: +255(028) 2988881
Barua Pepe: ded@kakonkodc.go.tz
Hatimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko. Haki zote zimehifadhiwa