MKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA KAKONKO ANAWATANGAZIA WAOMBAJI WAFUATAO KUJA KWENYE USAILI WA VITENDO BAADA YA KUSHINDA KWENYE USAILI WA KUANDIKA (MCHUJO) ULIOFANYIKA TAREHE 17.11.2023 KATIKA DARASA LA SHULE LA SHULE YA MSINGI MAENDELEO. HIVYO BASI WAFUATAO WANATAKIWA KUFIKA TAREHE 18.11.2023 KATIKA UKUMBI WA HALMASHAURI. KUPATA ORODHA YA MAJINA YA WAOMBAJI WANAOTAKIWA KUFIKA KWENYE USAJILI WA VITENDO BOFYA HAPA CHINI;
Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko
Anuani ya Posta: P.O.BOX 3
Simu: +255(028) 2988881
Simu ya Mkononi: +255(028) 2988881
Barua Pepe: ded@kakonkodc.go.tz
Hatimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko. Haki zote zimehifadhiwa